Natafuta mume wa kunioa

Kujimu eeh huyu ayupo
 
Namna yako nahitaji 0614500543
 
- Hapo kwenye hela dada hutapata mwanaume siku hazilingan leo umepata kesha lah.
- umesema mahitaj yako umezingua kinoma.
ilitakiwa useme mahtaji ya family yetu.

hapo napata picha kuna kijana wa watu atatumika vibaya, NA wakat mnadai 50\50. tuhudumiane wote ata wew uninunulie mpaka suruali.
sema zenu hela zina macho zinawauma kinoma
 
Ati iaje?!
 
Hii ndo JF hata ukiwa serious watakona nyau tu. Wengine wanasema we listen and we don't judge, humu kuna mahakimu na majaji wa kutosha.
 
Kaka hela ipo ya kunitunza
Hili ni tatizo mnakuwaga nalo sana kina mama, jambo serious unalihandle kama mzaha!

Hivi kweli muoaji huulizwa maswali ya namna hiyo, kwamba 'ana hela? '

Swali hili ka'haujui, linashusha hadhi ya mjenga hoja na kupelekea kuonekana ni mtu asiye na maadili.

Suala la kuoa hufanywa na mwanaume kwa kulifanyia maandalizi ya mahari pamoja na namna atakavyomtunza mkewe watakapoanza maisha.

Inavunja moyo kuona muolewaji akianza kuhoji hoji wajibu wa mume namna hiyo.

Maandalizi ya kuoa ni jambo la muhimu kwa mwanaume ni wajibu wake, lakini jambo la kuwa muki halina ulazima wowote.

Anza maisha ya ndoa, mengine ya hela etc hufuata watu wakiwa pamoja.
 
Hongera
 
Acha bass
Acha bass.
 
Ukifika chuo usiige ya chuo. Kujifanya mjuaji kumbe mshamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…