Natafuta mume wa kunioa tafadhali

Natafuta mume wa kunioa tafadhali

Una uhakika ww ni msichana ama ni ktk kujinadi tu. Swal la kizush, ww ni msichana ama mwanamke??
 
Jaman swala la kupata mume/mke mitandaon mi napingana nalo, mpaka mtu kufikia hatua ya kutafuta mwenzi hapa ni kwamba kashatafuta sana kwao na kakosa. Hofu ni juu ya sababu za kukosa mwenz kutoka ktk mtaa wa mhusika watu tuna tabia tofaut, historia za kifamilia ama koo na tabia nyingine binafs ambazo zinaweza kuwa kikwazo kupata mwenz anaye kufahamu vyema. Hivyo humu nikuuziana mbuzi ktk gunia kuwen makin
 
mhh dada unakazi ya kupembua pumba na mchele maana hapa sebuli ni hiv ss sijui huko chumban pm hali ikoje ila ukizichanga karata zako vyema utampata unayemtaka

Aaaaaahhhhhaaaaaaa. Shukurani Lol !
 
Jaman swala la kupata mume/mke mitandaon mi napingana nalo, mpaka mtu kufikia hatua ya kutafuta mwenzi hapa ni kwamba kashatafuta sana kwao na kakosa. Hofu ni juu ya sababu za kukosa mwenz kutoka ktk mtaa wa mhusika watu tuna tabia tofaut, historia za kifamilia ama koo na tabia nyingine binafs ambazo zinaweza kuwa kikwazo kupata mwenz anaye kufahamu vyema. Hivyo humu nikuuziana mbuzi ktk gunia kuwen makin

Upo sawa kabisa mkuu.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi.

weka mawasiliano nikupigie. Au piga 0652050720 tuongee
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi.

Kama unamaanisha,tuwasiliane 0713583608,niko Mza.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi.

Miss kayumba, ulishapata mchumba? Naomba ujibu Kama bado ili tuwasiliane.
 
Mamii,,,mtu yeyote asikutishe,mume anawezapatikana sehemu yeyote ile hata mtandaoni,ili mradi tu uwe umemshirikisha Mungu ili ukupe aliye sahihi.Kazana mwaya utapata,maisha ya ndoa yanautamu wake asikwambie mtu.
 
kasema m-pm please, afu huyu dada ana-sound serious kwa hiyo msianze mambo yenu yale, afu kumbuka ni mgeni maana hii ndio post yake ya kwanza
siyo kabadili id tu...?
 
Hayupo serious maana binafsi nimempm hajibu yupo kimya au sms zangu hazioni mm cjui
 
kasema m-pm please, afu huyu dada ana-sound serious kwa hiyo msianze mambo yenu yale, afu kumbuka ni mgeni maana hii ndio post yake ya kwanza

Post ya kwanza kwa another id inawezekana akawa Lala 1
 
Last edited by a moderator:
Jamini wadada mimi ni mwanaume nina miaka 30.ni mwalimu mwajiriwa serikalini.namtafuta mke wa kuoa mwenye sifa sifuatazo.awe mcha Mungu sawasawa.awe na umri 18 mpaka 29. Asiwe mlevi.kama unasifa hizo piga 0765481551
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom