Natafuta Mume Umri 38-43

vigezo vyote ninavyo ila ni mfupi 4"1/2 na mweusi tii, vipi hapo pm me pls
 

i hv 37
 
Hapo inakuwa jazi sana naogopa lugha gongana wanaume wengine huwa na inferiority complex
Asiye na elimu kama yako inakuwa "lugha gongana." Hebu tuanzie na lugha yako kwanza.

Hivi miaka 38, ukristo, kuwepo Dar, huna mtoto, ushawahi kuolewa ni sifa? Maana unaweza kusema sifa yangu sina mtoto kumbe mtu tasa. Manake mwanamke yeyote miaka 33 na kuzidi akishika mimba anasisitizwa afanye omniocentesis test kucheki kama mimba haina wazimu. Sasa miaka 38 hujazaa, I mean, you are a little between wind and water here. Wudnt call that "sifa."
 

E-mail me na tuma picha zako na mobile number to: luviri2004@yahoo.co.uk
 


I am 37. Sawa eeeh..! Ashakuambia elimu yake ndefu, afu elimu zetu za kibongo unapimwa kwa uwezo wako wa kiinglishi...shaurilo..!
 
Kila lenye heri, jihadhari sana humu. Usijepigwa P na kuachwa, japo kwa umri wako lazma una uziefu na tekniki za vidume. Kila la heri..
 
I am 37. Sawa eeeh..! Ashakuambia elimu yake ndefu, afu elimu zetu za kibongo unapimwa kwa uwezo wako wa kiinglishi...shaurilo..!

Ayaaaa kashakosa mke kwa elimu yake fupi...
 
We hutaki fursa kama hizi kaka ????QUOTE=Asprin;11588205]Mzee wa fursa huchezi mbali na fursa.....[/QUOTE]
 

Una tafuta mume au mke? Nimekupa contact!
 
excuse you lady! be fair like ur mom, does your father have those qualities???
 

kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…