Wakuu nawashukuru kwa uwepo wenu,
Nimerudi hapa kwa mara nyingine kutoa murejesho wa uzi wangu niliopost hapa kutafuta rafiki na Mume.
Kwanza, ninamushukuru Mungu kwa yote. Pili ninashukuru uwepo wa JF kwa kunikutanisha na mtu ambaye ameufanya moyo wangu ugusike, ahsante love, sina la kusema zaidi namuomba Mungu atusimamie na kutuongoza.
Ningependa tu kusema kwamba, kwa wale wanaotafuta wenza, humu pia kuna potential candidates wengi tu ni wewe tu kuwa makini na kufanya homework yako vizuri. Mapenzi ni risk haijalishi mumekutana wapi.
Ahsanteni na mubarikiwe sana!
Viva JF
Next time toa hongera kwanza ndio uulize maswali yakoWakati unamtafuta huyo mume ulumtafuta kwa id ipi?
Wakati unamtafuta huyo mume ulumtafuta kwa id ipi?
Chiswaili tabu, kingredha je?take care of men.
Wakati unamtafuta huyo mume ulumtafuta kwa id ipi?
Next time toa hongera kwanza ndio uulize maswali yako
Kwani lazima kutoa hongera?Na next time ukiwa unataka kuquote angalia unayemquote sio unakurupuka tu
Na jamaa mbona hatoe shukrani? au ushaanza kumchanganya tayari?
Wakati unamtafuta huyo mume ulumtafuta kwa id ipi?
Kwani lazima kutoa hongera?Na next time ukiwa unataka kuquote angalia unayemquote sio unakurupuka tu