iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Salama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa
Tatizo sura mbaya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ww hutafti kuolewa,uko humu kuwakashfu WasabatoSalama wakuu wa love connect.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.
Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.
Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.
Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.
Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Hahaaa.Sasa wakiwa wanene wote performance itakuwaje?wanawake bana,,,,,utaiskia sitaki mnene wakat yeye mwenyewe booooongeee,,,,oooh sitaki mwenye kitambi wakati yeye tumbo hilooooo.pambaf
Sio kweli ndugu labda ya kwako.Unawaona wanaigiza nje lakini ndani moto.Nina evidence za kutoshaMambo mazuri yapo mbele .
But for sure ,, hakuna watu wenye mahusiano bora na ndoa zenye amani kama za wasabato.
sio wote wengine wazuli wa tabiya na upendo wa zati ila labuda wamejikwaa bahati mbayasingle maothers ni janga la kidunia
Mkuu mbona hili kama linataka kuwa na ukweli kwa mbaaaliNgoja kwanza uhakiki wa vyeti fake vya kitaaluma ukamilike.....maana usije kua unatafuta kimvuli kipya buuuuure!
Wale hawakai kukunyoa kiduku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
mario kama mimi ila sijiKuajiriwa ni kutafuta pia.
Sio anakuja marioo
Afanye discount ya umriPunguza kigezo cha umri tuchukue fursa
Afanye discount ya umri watu watume tax invoicePunguza kigezo cha umri tuchukue fursa
Kumbe ww ni mbibi kizee?Salama wakuu wa love connect.