Natafuta mume mwenye V.V.U

asnat onyango

Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Mimi mwanamke nina miaka 31,

Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33

Nakuendelea nina mtoto mmoja

Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka ,

Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie mwenyewe sijaanza kutumi dawa matusi no,

Sitaki masihara kwa alie tayari 0654872662 ,

Awe na vina vikali usipime
 
..Kila lenye heri, hongera kwa ujasiri wako!!
Vina virefu ina maana gani??
 
Ni PM


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 

Haya tumekusikia nash mc.

Vina Vikali Usipime= VVU
 
Vina virefu?
Una maana dushelele ndefu au?
 

nakupongeza sana kwa kuyashinda majaribu.big up sana.nakutakia kila la kheri.endapo utampata mwenza na mkadhamiria kufunga ndoa,tafadhali uni pm kunijulisha mapema ili niweze kuandaa mchango wangu wa tsh 50,000/=
 
Ukiwa HIV positive sio Lazima utafute mwenza positive pia...muhimu upate mwenza anaejua uko positive..

umegusia kitu kinachonichanganyaga kichwa,kama mmoja ni +ve na mwingine -ve,wanakuwa wanafanyaje mapenzi bila kuambukizina hasa kwa wanandoa
 
umegusia kitu kinachonichanganyaga kichwa,kama mmoja ni +ve na mwingine -ve,wanakuwa wanafanyaje mapenzi bila kuambukizina hasa kwa wanandoa
atakwambia eti condom,WHAT?!!.

Condom haina guerentee bana.
 
kama ww hauna vina vikal usipime usijalibu kunip wala kuni call wala sms, tafadhali sina masihara sitaki kuambukiza wenzangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…