Funguka tukusome vizuri, hao watoto wawili iko vipi mdogo anaumri gani je wote ni wa baba mmoja?
Watoto wawili? Mchumba? Hofu ya Mungu?
Watoto wawili? Mchumba? Hofu ya Mungu?
aiseeh... Ni Pm wangu"
msubiri kando ya mlango wa kanisa lenu utamwona
Leo humpati mtu tuko busy na Escrow