Natafuta mume mtarajiwa!

Nina elimu ya chuo na ni mkatoliki halisi ila umri wangu ni miaka 85.
 
Ok,huo ni mtazamo wako so,sina haja ya kubadilisha unachokiamini! Ninachojua mimi dunia ni kijiji which means watu kutoka all over the world tunakutanishwa na mtandao!
 
elimu ya chuo kikuu au chuo cha kawaida?
 
Daaaaaaah mimi nina kila kitu isipokuwa nimekosa elimu ya chuo na kanisa ninalosali ni tofauti aiseeee kweli wewe ni ubavu wa mwingine
 
Unatafuta "mume mtarajiwa" au mchumba mtakayeoana Mungu akijalia?

Mume mtarajiwa maana yake,ni mwanaume wa mtu aliye kwenye mipango ya mwisho ya kumuoa binti fulani sehemu fulani...je ndiye huyo umtafutaye? Ntigy

Soma vizuri maelezo yangu!
 
Last edited by a moderator:
Daaaaaaah mimi nina kila kitu isipokuwa nimekosa elimu ya chuo na kanisa ninalosali ni tofauti aiseeee kweli wewe ni ubavu wa mwingine

I'm sorry for that!
 
Daaaaaaah mimi nina kila kitu isipokuwa nimekosa elimu ya chuo na kanisa ninalosali ni tofauti aiseeee kweli wewe ni ubavu wa mwingine

Samahani kwa hilo!
 
Waha huwa ni wabishi mweeee

Sent from Nokla using Jf app
 
Ok,huo ni mtazamo wako so,sina haja ya kubadilisha unachokiamini! Ninachojua mimi dunia ni kijiji which means watu kutoka all over the world tunakutanishwa na mtandao!

safi sana kumbe unaweza kuwa mke mwema. Mm ninasifa hzo hapo bas ni Pm ila namm nataka sifa moja tu! UWE NA BIKRA ili niamin haukuwa maharage ya mbeya
 
Join Date : 23rd March 2014; Natafuta mume mtarajiwa! shikamoo jf!!!
 
Jf,hawajakataza kujiunga jf na kuanzisha thread siku hiyohiyo,au ulitaka niwe senior member kwanza ndo nianzishe uzi?
 
Acha kupanic wewe!!!unaonekana umepania sana!!!Kwani huko nyakitonto umewakosa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…