Natafuta mume mtarajiwa!

mtafute mtoto ndio utampata mwenye hizo sifa
 
Natafu mchumba,sifa awe muislam,awe mrefu kiac.,si bagui rangi,umri awe kuanzia miaka 25 mpaka 30.aliyetayari text 0656250111
 
Ubaguzi huu jamani,kwa hiyo mimi std 7,sipati chance kabisa,mpaka wa kutoka chuo,so unampenda wa chuo kwa kuamini ana maarifa,lakini tupo sisi wengine hicho chuo hatukijui ila tuko smart upstairs,as its known intelligence is nothing to do with education,so nipe nafasi ndugu.....
 
Natafu mchumba,sifa awe muislam,awe mrefu kiac.,si bagui rangi,umri awe kuanzia miaka 25 mpaka 30.aliyetayari text 0656250111

kigezo cha dini kimetutenganisha mkuu,any way nakutakia kila la heri ili ufanikiwe!
 
halo! Kweli ww umedoda inamaana umewakosa mtaani kwenu, classmate, hata kanisan unakosali hamuna duuu! Hata wa kusakiziwa na rafiki zako hamuna lol! Hata mm naogopa kuingia pm najua ntaingia chakike tu. Kwaheriiii eeeee
 
Unachosema ni kweli,ila mtazamo wa jamii zetu ndo unatufikisha hapa,kwan mke akimzid elimu/kipato mme then kukawa na mahaba motomoto kias cha kusaidiana kaz za nyumban jamii inachukulia kuwa mme hafurukuti!

Wewe bint ebu Ni PM faster
 
halo! Kweli ww umedoda inamaana umewakosa mtaani kwenu, classmate, hata kanisan unakosali hamuna duuu! Hata wa kusakiziwa na rafiki zako hamuna lol! Hata mm naogopa kuingia pm najua ntaingia chakike tu. Kwaheriiii eeeee

U killed it aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…