Aisee basi sawa
Naomba niku nunulie juice!!
Mrembo, achana nalo hilo li-stroke ni li-nzi la kijani
Sawa ππNasubiri uweke tangazo njitose kinyang'anyironi
Aisee basi sawa
Nakuja prime minister.
Nakuona pale juu ulivyocheka hahahahaahaha.Sawa ππ
π π π
Mrembo, achana nalo hilo li-stroke ni li-nzi la kijani
Hujambo mrembo???ππππππ
ππ₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
Uipendayo...nakupitishia hapo kino.