chaurembo jasiri
Member
- Jul 20, 2015
- 6
- 0
Amepatikana
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30,elimu chuo kikuu,nimeajiriwa na nina mtoto mmoja.
Natafuta mume mwenye hofu na Mungu,upendo wa dhati,elimu chuo kikuu,awe ameajiriwa au kujiajiri,mrefu futi 5.9 mpaka 6.,mkristo.
Tuwasiliane kupitia PM.
Rashidforeseerer we dini gani?
ni kweli.Huo urefu anaotaka kwa sisi wenye 5'8 imekula kwetuMasharti mengi sana. Jaribu kupunguza maana na wewe kuna vitu unakosa. Mfano suala la umri kwa mwanamke hiyo ni mingi kwa mtazamo Wangu na suala la kuwa na mtoto tamaduni nyingi zinabana. Sasa cha msingi jaribu kuchek kama unaweza kupunguza kidogo masharti yako maana uko specific utafikir una assess watakao qualify kwenda jkt. Mtazamo tu. Kilalheri
aa chaurembo utaua bend...?!!
mi ninacertificate tuuu....?!!!
hapo kwenye nyekundu ndo shidaMimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30,elimu chuo kikuu,nimeajiriwa na nina mtoto mmoja.
Natafuta mume mwenye hofu na Mungu,upendo wa dhati,elimu chuo kikuu,awe ameajiriwa au kujiajiri,mrefu futi 5.9 mpaka 6.,mkristo.
Tuwasiliane kupitia PM.
Masharti mengi sana. Jaribu kupunguza maana na wewe kuna vitu unakosa. Mfano suala la umri kwa mwanamke hiyo ni mingi kwa mtazamo Wangu na suala la kuwa na mtoto tamaduni nyingi zinabana. Sasa cha msingi jaribu kuchek kama unaweza kupunguza kidogo masharti yako maana uko specific utafikir una assess watakao qualify kwenda jkt. Mtazamo tu. Kilalheri
Call here 0762991229. call right now.