Natafuta mume jamani

dah... kila siku umri unanitupa chini tu!
ngoja niendelee kuvumilia aisee!
 
Vigezo vingine nameet ila suala la elimu niko zaidi ya kigezo chako je twaweza??
 
Wakina dada acheni kuchezea maisha mjipange mapema...unaona sasa huyu..!
 
All the best...

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na. sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.

ty

Vigezo vyote sina ila n'na nidhamu kinoma..
Naweza kutuma maombi?
 
natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na. sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.

ty

Tumia ile id yako tuliyoizoea.
 
natafuta mwanaume anayehitaji mwanamke wa kuishi naye awe na. sifa zifuatazo; ;;;awe mzaliwa wa mikoa ya kaskazini, hajawahi kuoa, umri -32-37,elimu, form. 6, mkristo (r.. c ).mwenye nidhamu.

ty

kazi kwelikweli
 
Naona kama bado huna shida ya mume jamani! Mimasharti yote hii?
 
dah... kila siku umri unanitupa chini tu!
ngoja niendelee kuvumilia aisee!

Subir mda muafaka

Nimekumiss sana best
Napata machungu nikikumbuka .........
 
Ukiona 32-37 ujue mhitaji umri unaenda, lol. Mie nipo katika hilo kundi, ngoja nijaribu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…