Siyo wote lazima muolewe wengine mnapaswa muwe wafundaji wa ndoa za wenzenu..mana wewe si mara ya kwanza kutundika uzi una tafuta mume na masharti ka yakuomba kazi
Hupati mume kutokana na sifa unazotaka wewe, Naamini walikuja wanaume wengi tu lakini kwasababu wewe una vigezo vyako ukawakataa,sasa endelea kuchagua tu alafu uzee nao unakukaribia