Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Hivihivi kidogokidogo hatimaye watu wanatwanga...hakuna vingine vya kuchekesha mpaka uigize like?..
kama huyu eeeh...
Hivihivi kidogokidogo hatimaye watu wanatwanga...hakuna vingine vya kuchekesha mpaka uigize like?..
huyo atakua anafanya biashara hapo
Tangazo la kulaaniwa na wapinga ushoga au LGBT
Madai kwamba Zecomedy kwa matendo yao wanatangaza ushoga au ndoa za jinsia moja yanathibitika kwa picha kama hizi nk