Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Why awe hiv+ ubgeishia unataka mume then useme status yako. Coz kwa anayetumia vizuri dose ya arv huwa hawezi kuambukiza and sometimes ukimpima inasoma -ve
Unaona usanii wanaoutumia wazungu hapa?

Being positive is not a big deal??

Ishu je HIV alishawahi kuonekana under electronic Microscope??
 
HV mkogo serious au mnazingua

VIP Bab watot nae Ni muadhirika au Ni nega
 
Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.

Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Sema HIV wewe AIDS unaijua au unaisikia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom