vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,167
- 2,965
Amina! upo hapo daslam eh?Ndio Venus... Asante sana.be blessed.
Amina! upo hapo daslam eh?Ndio Venus... Asante sana.be blessed.
Itabidi nije nikuone hapo daslam viumbe kama nyie ni baraka, huku kaskazini wanawake wamekuwa majambazi.Ndio![]()
Unataka mwanamume awe wa umri gani??wanaiba ninii?
Unalala nae getto jicho moja umefunga lingine unaacha wazi, wakati huo ufunguo umeficha mbali sana bila ya hivyo asubuhi utapiga uwiiii kubwa sana.wanaiba ninii?
Itabidi nije nikuone hapo daslam viumbe kama nyie ni baraka, huku kaskazini wanawake wamekuwa majambazi.




majambazi wa nn tenaUwiiii uwiiii uwiiii kiruuuu nimeibiwaaaaa yesuu nakufaaa!Hebu piga iyo uwiiii apa niskie![]()
Wanawake wamekaa kimkakati unamtamani na yeye anakutamani ukizingua inapigwa simu moja toyo zinajaa hapo getto kinachofata ni I.T.Vmajambazi wa nn tena
Hiyo hiyo la mamaaa hapo tayari getto ni jeupe na hapo inabidi ulie kidogo urudi ndani, wasikukute hapo nje unadekaa.Hii si inaitwaga ukungakeleuwiiiii
![]()
Acha tufe nazoHivi bado mmeshikiliwa akili mnaamini kuwa ukimwi upo??
Na mnameza hayo mashudu amkeni waafica HIV is a hoax, kumeza mashudu kunawapeleka makaburini mapema sana.
Mjadala kuhusu HIV ulishaongelewa kitambo humu na hakuna hata daktari mmoja alieleta scientific evidence hata moja bali imebakia imani tu na kurithishana uongo tuliomezeshwa na mabeberu kupitia mainstream, amkeni![]()
kwa kweli dawa siez acha
Si ndio la mama ndo maana nikaona utofauti kidogo kwako unavyowajibu watu kistaarabu nikavutiwa.njoo dar Sasa huku hawaibi