Natafuta mume, awe HIV+

wanaiba ninii?
Unalala nae getto jicho moja umefunga lingine unaacha wazi, wakati huo ufunguo umeficha mbali sana bila ya hivyo asubuhi utapiga uwiiii kubwa sana.
 
Unalala nae getto jicho moja umefunga lingine unaacha wazi, wakati huo ufunguo umeficha mbali sana bila ya hivyo asubuhi utapiga uwiiii kubwa sana.
Hebu piga iyo uwiiii apa niskie
 
majambazi wa nn tena
Wanawake wamekaa kimkakati unamtamani na yeye anakutamani ukizingua inapigwa simu moja toyo zinajaa hapo getto kinachofata ni I.T.V
 
kigezo cha hiv+ ndio sina, hapo tunfanyaje baby mama tukalee hao watoto
 
Hivi bado mmeshikiliwa akili mnaamini kuwa ukimwi upo??
Na mnameza hayo mashudu amkeni waafica HIV is a hoax, kumeza mashudu kunawapeleka makaburini mapema sana.

Mjadala kuhusu HIV ulishaongelewa kitambo humu na hakuna hata daktari mmoja alieleta scientific evidence hata moja bali imebakia imani tu na kurithishana uongo tuliomezeshwa na mabeberu kupitia mainstream, amkeni😎
 
Acha tufe nazo
kwa kweli dawa siez acha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…