Natafuta mume aliye serious

Natafuta mume aliye serious

rajack

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
19
Reaction score
7
Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo
Elimu: Diploma na kuendelea
Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato,
Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana.
Sehemu: Awe anaishi Dar, Moro, Pwani, Tanga, Moshi & Arusha
Umri: 28-32

WASIFU WANGU
DINI: Mkristo
Umri: 25
Kazi: Muajiriwa serikalini
Mkoa: Tanga
Muonekano: Mwembamba maji ya kunde urefu cm160

Note: Waalimu wa primary hawaruhusiwi
Aliye tayari na mwenye sifa ani PM
 
Maneno hayo!! walimu wa primary walikufanyeje madaam.
 
Sijui nikuPM? Lakini wewe sio popo bawa kweli!? Kwa nini mnawadharau sana walimu wa primary? Wasingekuwa wao hiyo elimu unayoringia ungeipata wapi!? Acheni huzo bhana!
 
cja wadharau, kila mtu ana aina kitu anacho penda, kama nime kuuz sory
 
Everybody back home(KENYA) is yeaning to get a primary school teacher, while here in TZ ladies don't want them. Oookey, I thnk I know y; they are less educated. Lakini si bora kipato? Poor them!!
 
Weka picha kwanza sio watu wakuPm na unatoa vigezo kumbe we mwenyw goi goi
 
tuanzishe mahusuano ya awali mrembo kwa safari yetu ya ndoa
 
Dada umenivunja mbavu zangu. Hilo onyo la sie walimu wa msingi hadi nimeogopa. Umejiandaaje na PM za mabazazi? Nakushauri ukitumia platform nyingine usitenge watu wa fani fulani. Na masuala ya physical appearance nayo usiyaongelee hasa hili la urefu na ufupi ambao wote tunajua ni majaliwa ya mola. Ila hili la unene na wembamba ni juhudi binafsi hilo unaweza kuligusia. Kwa kuwa umesema wewe ni mkristu nakushauri usome vitabu vya mchungaji Trobtich, kimoja kinaitwa LOVE IS A FEELING TO BE LEARNED, I LOVED A GIRL NA I MARRIED YOU. Vitakupa picha nzuri japo najua mapenzi hayana shule. By Mwl Mpitagwa, Mtakuja Primary School
 
nimekuelewa, nikijaribu kuweka waz kipinataka na kipi ctaki
 
natafuta mume wa kunioa, awe mkristo
elimu:diploma na kuendelea
Kazi: awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato,
mwonekano: asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana.
sehemu: awe anaishi dar, moro, pwan, tanga, moshi &arusha
umri: 28-32

WASIFU WANGU
DINI:mkristo
Umri:25
kazi: muajiriwa serikalini
mkoa: tanga
muonekano: mwembamba maji ya kunde uref cm160
Note: waalimu wa primary hawaruhusiwi
Aliye tayari na mwenye sifa ani PM

Vipi walimu wa Chekechea wanaruhusiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom