mwinchande84
Member
- Dec 2, 2012
- 63
- 16
Nakusms sasa hivi lkn je nikipigwa ridands ndo kwshniee au?
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
Hahahahahaha.Ameni PM amesema hataki ccm, anataka walio SERIOU
Inawezekana.unaanzisha uhusiano na mtu usiemfahamu? hii inakuaje? sijawahi kufikiri. Nisaiieni kwa hili.
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
"mwenye kazi ya maana"
.....wewe umekosaje hiyo kazi
mimi ni msichana wa miaka 26.elimu yangu ni shahada moja.sifanyi kazi.ni mwembamba,maji ya kunde.mkristo.
Natafuta mme msomi.at least degree ,mwenye hofu ya mungu,mwenye kazi ya maana ,mkristo ,mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.kama uko interested ni Pm
"mwenye kazi ya maana" hapo hupati mtu.
kumbe hutafuti mwanaume SERIOUS ila unatafuta mwwnye siga hiziMimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.
Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.
Kama uko interested ni Pm