bora unisaidie kusema watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake katika maisha umri huu sio wa kupewa stress na mtu ,pia watoto wanaondoka nyumbani mapema sana wakiingia chuo nabaki mwenyewe home fikiria huo upweke ukojeHoney Faith, umeolewa weye? Mwenzio aliolewa mumewe akatangulia mbele za haki, kwa hiyo anajua chungu na tamu za mume; na baada ya kupima ameona upweke una gharama kuliko ndoa.
Tatizo letu ni kudhani kuwa ndoa zote ni taabu kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.
Vv
asanteKaribu Dodoma
pmuna watoto wangapi ? unaishi wapi ? unapendelea mwenzi wa aina gani ? funguka bi mkubwa !! au ni PM
Bora Serengeti Boys 2. No StressssMiaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
Kichwa cha Habari
Ungeandika Natafuta Mume wa Mtu
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
bora unisaidie kusema watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake katika maisha umri huu sio wa kupewa stress na mtu ,pia watoto wanaondoka nyumbani mapema sana wakiingia chuo nabaki mwenyewe home fikiria huo upweke ukoje
Unaogopa kuwa Mariooo. Huyu Dada hataki Mariooo. Sema kumpata wa ivyo na yenyewe ni shida sanaKidogo niqualify sema nmepungua kama miaka 5
Siku ukipita pande hizi we nishitue tufanye kikao kwaajili ya mipango ya ndoaasante
story yako kwa ufupi tafadhali
mume wa nin bhana?single Maza poa tu tunalisongesha kigumu
Mh wivu wa nn sasaNina upako.. Au waona wivu bibiee
hamna cha dildo wala nn mda si mrefu hapo anakoma hedhi angevumilia tu alee wanae wanaume wenywe nyie msiopenda watto wa wenzenuNyie mtanaka raha za mwili afanye na nan? Dildo au ?
Naona siqualify nahitaji mtoto japo umri nipo in range. Goodluck zedNatafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Mwisho wa hedhi ni mwisho wa kushika mimba siyo KWICHIKWICHhamna cha dildo wala nn mda si mrefu hapo anakoma hedhi angevumilia tu alee wanae wanaume wenywe nyie msiopenda watto wa wenzenu