Natafuta Mtu wa kushare nae office

Natafuta Mtu wa kushare nae office

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,965
Reaction score
6,737
Habari:
Nimekodisha Office Space Maeneo Ya Kigamboni.
Ni Ofisi ya Kawaida ambayo inafaa kwa watu wanofanya shughuli za
  1. Clearing and Forwarding
  2. Consulting
  3. Advertising
  4. Law
Na shuguli kama hizo ambazo zinahitaji tu anuani na sehemu ya kukaa kwa ajili ya kufanya shughuli zako

Iwapo wewe ni Mkazi wa KIgamboni na ungependa kuwa na ofisi ambaye tutakuwa tunashea gharama za uendeshaji ambazo ni ndogo tafadhali tuwasiliane PM.

Ofisi hii ina sifa zifuatazo:

Ina sehemu ya kukaa watu kumi kwa ajili ya kikao
Ina sehemu ya Mapokezi
Inasehemu ya Kuhifadhia kumbukumbu
Ina Land line ya TTCL
Ina wireless internet ya TTC
Ina feni

Tunaweza fanya maboresho zaidi kama tukikubaliana

Tunaweza kushare hadi watu wanne

Gharama ya kushare ni nafuu sana na unalipa mwezi kwa mwezi.

I wapo utahitaji unaweza pia kupewa Laptop iwapo hauna kwa ajili ya matumizi uwapo ofisini

Faida nyingine ni kukutana nawatu wa kubadilishana nao mawazo na kushauriana ili kukuza biashara zetu ndogo ndogo

Iwapo unahitaji sehemu ya ofisi ambayo tunaweza kushare kwa gharama nafuu na bila usumbufu wowotw basi tunaweza kuwasiliana PM au kwa email hapa chini.

Karibu Sana Tujenge Uchumi wa Viwanda
 
Habari:
Nimekodisha Office Space Maeneo Ya Kigamboni.
Ni Ofisi ya Kawaida ambayo inafaa kwa watu wanofanya shughuli za
  1. Clearing and Forwarding
  2. Consulting
  3. Advertising
  4. Law
Na shuguli kama hizo ambazo zinahitaji tu anuani na sehemu ya kukaa kwa ajili ya kufanya shughuli zako

Iwapo wewe ni Mkazi wa KIgamboni na ungependa kuwa na ofisi ambaye tutakuwa tunashea gharama za uendeshaji ambazo ni ndogo tafadhali tuwasiliane PM.

Ofisi hii ina sifa zifuatazo:

Ina sehemu ya kukaa watu kumi kwa ajili ya kikao
Ina sehemu ya Mapokezi
Inasehemu ya Kuhifadhia kumbukumbu
Ina Land line ya TTCL
Ina wireless internet ya TTC
Ina feni

Tunaweza fanya maboresho zaidi kama tukikubaliana

Tunaweza kushare hadi watu wanne

Gharama ya kushare ni nafuu sana na unalipa mwezi kwa mwezi.

I wapo utahitaji unaweza pia kupewa Laptop iwapo hauna kwa ajili ya matumizi uwapo ofisini

Faida nyingine ni kukutana nawatu wa kubadilishana nao mawazo na kushauriana ili kukuza biashara zetu ndogo ndogo

Iwapo unahitaji sehemu ya ofisi ambayo tunaweza kushare kwa gharama naf
Vizuri sana ndugu fursa kama hizi watu wanakuwa idle sijui laana gani hii
 
Back
Top Bottom