Natafuta mtu wa kupublish naye tafiti mbalimbali

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Natafuta mtu wakupublish nae tafiti, tutashirikiana kwa pamoja kufanya tafiti hizo. Mtu huyo angalau awe amesha publish tafiti zaid ya moja.

Sifa
1. Elimu kuanzia Master degree na phd students itapendeza nikimpata
2. Field n social science, au health pia
Lengo had 2025 tuwe tumepublish angalau paper 3 tu.

Tafadhali ni PM.

Asanten.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom