Natafuta mtu wa kujitolea

Natafuta mtu wa kujitolea

ajitolee kubeba mimba yako hahahah
acha ujinga hiyo email yako hukuweka altenative mail ingia hiyo kama huna nenda forgott passwodr fuata maelekezo kama yako details nyingi unazijua

wewe acha uhuni ukimwi upo
forgot password aifungui
 
Hivi unamini kuwa kuna watu hata keyboard hawaijui, mouse hawaijui ctrl katika bao bonye haijui sasa hio alternative mail ataijua je akiulizwa code zimetumwa kule unadhani.

Kwa msaada mwambie akupe email yake kule nyuma ya pazia au PM kisha
Fanya kama kumuuliza kila kitu then baadae mpe PWD zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Endeleni mkishindwa atanijibu ni msaidie
 
Yaani mkuu hio avatar ba unavyo jibu maswali ni very same hahahaaa.

Kwa kuku saidia fasta fasta kama bado.. Nitajie email yako au ni pm ni kuulize hayo maswali kupitia email yako

Kama hutomind lakini
 
Yaani mkuu hio avatar ba unavyo jibu maswali ni very same hahahaaa.

Kwa kuku saidia fasta fasta kama bado.. Nitajie email yako au ni pm ni kuulize hayo maswali kupitia email yako

Kama hutomind lakini
okey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom