Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi

May 17, 2016
12
31
Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Mbeya alafu mm niende Iringa kada ya medical attendant au nursing.
 
Njoo singida nije katavi ma 0621245357 nitafute, kumbuka kujitambulisha vizuri kurahisisha mawasiliano
 
Ww ndio Jipu make hata hujui kutofautisha M.A & Nurse achia wenye thread waje
 
Jaman naomba msaada wa kupata namba ya daktari yoyote kwa sababu nina shida na ushauri wa kidaktari
 
Back
Top Bottom