Mkuu kwani wewe kwenye kozi yako haukusoma customer care, communication skills even business foundamental, ukaamua kukomaa na code tu? Kwani unafikiri Kila member anajua humu Kuna jukwaa la Technology? Kuna sehemu huyu muungwana kaandika anataka kumuokota IT kwenye uzi wake huu? Elimu itusaidie katika nyanja zote.Tuna jukwaa letu humu. We unakuja kutangaza hapa?
Hivi unafikiri tunaokotwa okotwa tu?
Kila wiki tunakuwa approached na watu kibao wanaodai wana idea sisi tuwadevelopie. Wengi wao huwa hawana capital ya kufanya hivyo. We have developed a sense of smell pale anapokuja mtu wa aina hiyo. Huwezi kuelewa.Mkuu kwani wewe kwenye kozi yako haukusoma customer care, communication skills even business foundamental, ukaamua kukomaa na code tu? Kwani unafikiri Kila member anajua humu Kuna jukwaa la Technology? Kuna sehemu huyu muungwana kaandika anataka kumuokota IT kwenye uzi wake huu? Elimu itusaidie katika nyanja zote.
Kila wiki tunakuwa approached na watu kibao wanaodai wana idea sisi tuwadevelopie. Wengi wao huwa hawana capital ya kufanya hivyo. We have developed a sense of smell pale anapokuja mtu wa aina hiyo. Huwezi kuelewa.
Si kwa ubaya, as an expert you need to learn how to communicate and listening others without ignore them, Do not take out of his questions unless you advise in positive way. Kulikuwa na haja gani kutumia maneno hayo kwenye bold?
Nikubali usemi wako "siwezi kuelewa" japo haimaanishi sijakuelewa ila nimekubali kuonekana siwezi kuelewa kwenye upeo wa uelewa wako. Asante.Nasisitiza, huwezi kuelewa.
Until you have been approached numerous times by such people, at times even met them, and spent your time consulting for them, huwezi kuelewa.
As long as its settled, I'm fine with whatever you want to think.Nikubali usemi wako "siwezi kuelewa" japo haimaanishi sijakuelewa ila nimekubali kuonekana siwezi kuelewa kwenye upeo wa uelewa wako. Asante.
Is that it?As long as its settled, I'm fine with whatever you want to think.