wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba

Mkuu mbona itv huwa wanatangaza sana kuhusu zao la vanilla na wanasema soko lake ni uhakika ebu jaribu kufuatilia pia maana kuna kampuni huwa inatangaza sana mambo ya vanilla,, Saa Mbili usiku muda wa taarifa ya habari

Tafuta connection Madagascar mkuu. Tumia ubalozi wetu wa Msumbiji kwani unawakilisha Tanzania Madagascar. Au ubalozi wao hapa nchini kama upo. Huko vanilla inauzwa kwa bei ya jumla kwenda Ufaransa na soko ladunia linafahamu kua vanilla nyingi huchukuliwa huko hivyo wateja ni wengi wanaonunua kupeleka wanakojua wao. Mwaka huu uchumi wao umeyumba sababu vanilla imepigwa na ukame hivyo bei imepaa sana kule