Natafuta Mteja - Madini ya Quartz MOQ 1 Tonne

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
148
Habari!

Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa tunavunja saiz tunayoitaka hivyo yanakuwa vipande vipande.) lakini pia tunazo japo kwa uchache quartz ya MCHONGOKO au crystal quartz (hii ni quartz yenye umbo maalumu yani imechongoka na inamigongo kama imekatwa na kisu)

Mgodi wetu unapatika Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro.

Kama unahitaji au unafahamu mahali tunaweza pata soko la uhakika, tafadhali wasiliana nami kupitia +255712075845 au kwa Email: mobifarm.africa@outlook.com

Natanguliza shukrani zangu za dhati!

Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…