Habari watalaam.
Najifunza Dart language au flutter kama wengi wanavyoiita kwa kupitia tutorials mbalimbali za youtube. Ila kusema ukweli nimekwama, sababu hata nikichukua mifano ile ile iliyotumika kwenye youtube ni "run" kwenye laptop yangu ni bugs kibao, hata ikiwa na codeing ya mistari miwili tu na nimekopi n kupaste.
Kama kuna chuo hapa DSM naomba kulekezwa short course au pengine yupo mkali wa hii kitu itabidi nimtafute nipate ABc
Msaada tafadhali