JUMA KIDEVU
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 150
- 309
....ndimo mliwamoHamna namna
Najua ni ngumu sana kufanikisha.....ndimo mliwamo
hapana , mie wala sijakuunga mkono kuingia kwa betting,Najua ni ngumu sana kufanikisha.
Ila nimejiandaa vya kutosha.
Na Kama nikifanikiwa hata nusu kwenye hili.
Basi litanijenga na hiyo mirad mingine haitafeli.
Be blessed
Kuharibu elekeo wa maisha , hapana.Usije ukajaribu kajisa uko ndo utazidi kupoteza uelekeo wa maisha yako
Yah . Ni kweli Kamari iko addictive..hapana , mie wala sijakuunga mkono kuingia kwa betting,
kwanza iko addictive, kuingia rahisi kutoka ngumu
pili, yaani utegemee 'kamari' kama njia kuu ya kujiingizia kipato kweli ?
alaf wewe si mkobazi ?, hujui kamari ni kharam sheikh ?
@mjusilizard , ni proposals za kijasiriamali.Hiyo miradi minne ukiyoifikiria ni ipi ili nasi tukushauri vinginevyo
Sasa nawewe stake ya 50000 ili ushinde 50000 ndo nini, au iyo 70000 ili ushinde 70000 umebeti kitu ganisikukatishi tamaa lkn nmekusoma kwanza ww si mbobez kwenye sekta ya kamari pili kwenye kamari hakunaga mipango sijui miez 3 nifikishe milion 8 tatu hilo likampun 22bet hulijui ndio maan unakomaa nalo ila kwa sisi wajuz hapo ni magumash ipo siku utakipata cha mtema kuni
la mwisho ukitaka kuona faida ya bet kuwa na mtaj kwNz ndio utaona faida na bet huwa haitestiwi View attachment 2106113
View attachment 2106114
mi mwenyew nimeshangaaSasa nawewe stake ya 50000 ili ushinde 50000 ndo nini, au iyo 70000 ili ushinde 70000 umebeti kitu gani