Habawa JF natafuta Mtaalamu wa kuweza Kunitengenezea Wordpress Themes Pamoja na Mobile Payment System Kwani Nina Site Yangu Ambayo nataka Niifanye Kuwa Ili mtu Ajiunge ni lazima alipie kwanza Ada ya Uwanachama Kila Mwezi sasa nataka sytem nzuri ya payment ili mtu akitaka kujiunga awe analipia kwanza na ndio aweze kutumia Huduma ninazo zitoa hivyo nataka mtu wa kudesgn themes nzuri pamoja na sytem ya mobile payment
Kwa anaye weza anichek PM au tuwasiliane kupitia 0743497079
Kwa anaye weza anichek PM au tuwasiliane kupitia 0743497079