Natafuta mtaalamu wa kufunga tracker kwenye vyombo vya usafiri

Natafuta mtaalamu wa kufunga tracker kwenye vyombo vya usafiri

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
habari wanajamvi,

naweza kupata maelezo na sehemu ambapo ntaweza kupata utaalam wa kufungiwa tracker kwenye chombo cha usafiri kama pikipiki au bajaj kwa ajili ya kujua ilipo na kuona mienendo yoye ya chombo huska


asanteni
 
Ishu sio kujua ilipo, ishu ni Kubadilishwa vifaa, kiasi kwamba unaweza ipaki ndani ya miezi 2 tu.
 
‭+255 714 890 018‬ mcheki huyu jamaa
 
Back
Top Bottom