Ku criticized MTU huwa sio poa kwani iPhone pekee ndio huwa INA huo ulinzi na unaweza hata nunua hiyo simu sec hand na bado MTU alikuuzia akawa kakutrick kwa kuacha acc take on kwa phoneUtafungwa na simu zako za wizi
mie nilikuwa nanua hizo simu kutoka south na nyingine zinakuja na icloud ila natoa na inaingia sokoni tena