Natafuta mtaalam wa kung fu

sio kwamba nataka kukaba na kupora,mimi mwenyewe ni karateka ila ninachotaka kujua ni kuhusu kung fu(shaolin)

Sawa bana naona hata jina lako,nimeona wengine wanataka kupiga makonda kisa mia nne ngumu!!jf kuna vituko si haba
 
Eti anafundishs Ong Back, hiyo ni movie bwana, sio staili ya mapigano!
 
nenda pale masjid Mtambani maustadhi wote pale ni balaaa.... usi thubutu ku test unag'olewa meno
 

Mi mwenyewe ningependa kujifunza mkuu! Naomba nipm namba yako nikutafute ili tuone kama naweza jiunga na kujua wapi itakuwa center yangu ya mafunzo.
 
Kungfu na karate sio effective katika streetfight.Ukijifunza hyo ni sawa na kupoteza muda

Nakushauri ujifunze Krav Maga,Systema na Judo.
 
Kungfu na karate sio effective katika streetfight.Ukijifunza hyo ni sawa na kupoteza muda

Nakushauri ujifunze Krav Maga,Systema na Judo.

Aishie Judo tu huko kwingine na ukiongeza na Jiu Jitsu hapo anaweza fia mtu mafunzoni tu!!!!
 
Kungfu na karate sio effective katika streetfight.Ukijifunza hyo ni sawa na kupoteza muda

Nakushauri ujifunze Krav Maga,Systema na Judo.

uhodari wa kupigana upo kwa mtu mwenyewe na wala sio sanaa,lakini always shaolin monk atabaki the best.
 
iwe krav maga,tae kwon do,karate,mma,kickboxing,boxing,capoeira,ju jitsu,muay thai,judo na uchafu wote ila kwa kung fu wanafloat tu!
 

Mkuu nisaidie; dojo la Tegeta liko kipande gani????
 
Naomba kusahihisha jambo.

Hakuna sanaa ya mapigano ambayo ni bora zaidi ya nyingine. Msanii ndio huwa bora. Ni kama sanaa ya muziki. Haijalishi unaimba muziki gani, wewe kama msanii ndio waweza kusababisha muziki wako kupendwa au kuchukiwa.
Nitatoa mfano wa wasanii wa sanaa ya mapigano walio shawishi watu kujifunza baadhi ya sanaa zao:

Jackie Chan-Kungfu(Drunken & Snake)
Bruce Lee-Jeet Kune Do
Jet Lee-Wushu
Van Damme-Shotokan Karate
Tony Jaa-Muai Thai & Tae Kwon do
Scott Adkin(Boyka)-Kick Boxing&Tae kwon do
Shoku Sugi-Ninjitsu
Steven Seagal-Aikido
Donie Yen-Judo,Wushu & Wing chun

Hao ni baadhi tu. Leo hii kuna maelfu ya watu wanaojifunza hizo sanaa kwa ushawishi wa hao watu.
Kwa hiyo haijalishi utajifunza sanaa gani ila wakati wote kumbuka kuwa,'Sanaa haimfanyi mtu bali mtu ndiye huifanya Sanaa'.
Kila lakheri.
 

maneno mazito na hekima haya. nami nawatakia kila la heri
 
Habari wanaJF, Natafuta mtaalam yeyote wa kung fu!

si tamu sana kama TAE KON DO....ila njoo nkufunze...ni mwanadada lakin hataaar sana, na ukiwa mwepes na ku introduce na karate kidogo ...ni sheeeeeeedah
 
mburula ni mburula tu sasa morogoro muslim ndo kitu gani?

nirekebishe mkuu kama umeelewa tumsaidie ndugu yetu, kinaitwa chuo kikuu cha waislam cha morogoro, kinatoa hiyo coarse wahitimu wanapata ajira sana boko kharamu, al shabab na al-queda inshalah mnyaazi Mungu akujalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…