Natafuta mtaalam wa kulipua mawe kwa baruti

Natafuta mtaalam wa kulipua mawe kwa baruti

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Natafuta mtaalam wa kulipua mawe kwa baruti, nimekutana na changamoto ya mawe makubwa wakati nachimba shimo la choo baada ya kufikia kama futi 4 hivi.

Nahitaji mtaalam kufanya nae kazi.

Nipo Mwanza karibuni
 
Back
Top Bottom