Natafuta mtaalam wa 'fumigation'

Natafuta mtaalam wa 'fumigation'

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es Salaam.

Mhusika tuwasiliane tafadhali

Aksanteni
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es salaam.

Check PM yako Brother.
Ahsante na Karibu.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es Salaam.

Mhusika tuwasiliane tafadhali

Aksanteni
Check PM yako Mkuu Ahsante na Karibu.
 
+255752940423 mpigie huyo jamaa anaofice yake mbezi beach
 
Kampun yangu inaitwa dust and shine ...karibu mno
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es Salaam.

Mhusika tuwasiliane tafadhali

Aksanteni
Mkuu nipe hiyo kazi,kampuni yangu inaitwa nextmary cleaning,sanitation and fumigation services

Au nicheki kupitia no.0625567408
 
Ku
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu anayehusika na upulizi wa dawa za kuua wadudu majumbani maarufu kama fumigation. Iwe mtu binafsi au kampuni, napatikana Dar es Salaam.

Mhusika tuwasiliane tafadhali

Aksanteni

Kuna tatizo gani hadi uamue kufanya fumigation?
 
Deal Closed Member.
Mkuu mimi ndiyo natakiwa kusema deal closed kwa kuwa ndiyo niliyotoa tangazo. Mpaka sasa hivi saa nne na ushee kijana wako hajaenda kufanya survey kama ulivyosema jana.
 
Dah bora kaka umejibu kiungwana mana nikajiuliza inakuwaje ? Mana kufanya survey si kupewa kazi ,,, na kukubaliana price ni kitu kingine! Sec.mkishindwana karibu dust and shine company kwa gharama nafuu na fumigation ya uhakika
 
Back
Top Bottom