N nyampepela New Member Joined Aug 19, 2010 Posts 2 Reaction score 1 May 23, 2014 #1 Natafuta kijana ambaye ni shapu. Mwenye SIFA zifuatazo Kuandaa na Kuandika SCRIPT Kutangaza Kuchukua Video Kutengeneza na Kuhariri Video Kwa Mawasiliano piga 0683 966282 au niandikie barua pepe nyampepela@gmail.com
Natafuta kijana ambaye ni shapu. Mwenye SIFA zifuatazo Kuandaa na Kuandika SCRIPT Kutangaza Kuchukua Video Kutengeneza na Kuhariri Video Kwa Mawasiliano piga 0683 966282 au niandikie barua pepe nyampepela@gmail.com
kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 May 23, 2014 #2 duuh hizo kazi zote mtu mmojanahs kuandaa script na kutangaza sawa lakina na video ajue ana kuhariri ajue, kibongo bongo ataharibu kimoja....watakuja maarufu maana hz kazi za kujulikana hizi
duuh hizo kazi zote mtu mmojanahs kuandaa script na kutangaza sawa lakina na video ajue ana kuhariri ajue, kibongo bongo ataharibu kimoja....watakuja maarufu maana hz kazi za kujulikana hizi
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 May 23, 2014 #3 Ofisi ipo maeneo gani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums