Yesu Rudi upesi huku duniani, dunia imegeuka chini juuKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu. Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii. Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana. Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
Hahahaaaaaaaaa!! teh! teh! 😀😀😀😀Nenda pale muhimbili kuna madaktari bingwa wazuri sana wa magonjwa ya akili
...ungekuwa wa msaada ungeshamPM hayo maelekezo badala ya kukomenti hapa!Ni Pm number yako ni kuelekeze handeni kwa mtaalamu mmoja hivi.
pangani iko wp mkuu?Nenda pangani, dar wengi ni longolongo
manyaunyau atakusaidia anapatikanika kiwalani bom bomKwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo
Mshana jr sina shaka nae, ila mzizi mkavu ashawahi kumpa mwanajf dawa ya usd 330 kumbe feki! hakupona jamaa akaenda kulalamika jukwaa la malalamiko.Kweli hapa mshana jr au MziziMkavu wanahusika