Natafuta msichana

Natafuta msichana

ELIFURAHA MAKOMBE

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
176
Reaction score
22
Habari wanajf,natumaini mu wazma wa afya mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 npo dar,ni mrefu wa maji ya kunde,elimu ya chuo,mkristo,natafuta msichana wakuanza nae relatioship/mahusiano awe mrefu kiasi,mweupe,na mwenye kukubali masharti ya dini yangu,awe na elimu ya form four hadi chuo.Ani pm,au anicheki through 0715 406010 through whatsaap,fb.Ninapenda kuchati so ua welcome.

Ninaanza na mungu na tutamaliza na mungu.Ameni
 
vigezo na masharti kuzingatiwa...mbona humu weusi tupu.!jaribu fb!
 
Nina sifa zote ulizotaja, ila tatizo liko kwako. Wewe bado ni MVULANA.
 
Yaani huna sera hadi utafute msichana kupitia mitandao ya kijamii!!utapata jini shauri yako
 
unataka wa kuanza nae relation au wakuchat nae...?
 
Habari wanajf,natumaini mu wazma wa afya mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 npo dar,ni mrefu wa maji ya kunde,elimu ya chuo,mkristo,natafuta msichana wakuanza nae relatioship/mahusiano awe mrefu kiasi,mweupe,na mwenye kukubali masharti ya dini yangu,awe na elimu ya form four hadi chuo.Ani pm,au anicheki through 0715 406010 through whatsaap,fb.Ninapenda kuchati so ua welcome.

Ninaanza na mungu na tutamaliza na mungu.Ameni

Shule na chuo hukuona wa kukuvutia au ulisoma boys tupu? I hope utapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom