hata mimi pia natafuta
msichana wa saluni asiyezid miaka 25 na uzoefu na shughuli zote za
saluni ya kike, saluni ipo maeneo ya Njiro kotaz nanenane- Arusha. zaidi
0712976397
weka kila kitu wazi me kuna mtu namjua anajua hizo kazi na yupo arusha so mwaga details mshahara sh ngap? mda wa kaz, chakula, nauli, sku za mapumzko na hali ya biashara kwa ujumla
ndio maana nikaweka contact mkuu
haya mtafute mwenywe 0767536048
haya mtafute mwenywe 0767536048
ebana Ladyfocus huyu mtu hapatikani, hana namba ingine???
hiyo ndo namb yake ya kila cku mkuu