Natafuta msichana wa kuzaa nae

Kwa hiyo kuanzia mimba mpaka mtoto atakapofikisha miaka 3 mama atavuna takribani mil 21,060,000/= kwa mchanganuo ufuatao,

Mimba.
miez 9 ×300,000=2,700,000/=

Makuzi.(miaka 3=miezi 36)
miez 36 ×510,000=18,360,000/=

Jumla kuu ,
Tsh 21,060,000/=.

Nguo,matibabu na dharura kubwa ni juu yake baba.
Wadada fursa hii.
 
Huyu jamaa atajuwa muandaa miradi kwa uchanganuzi huu
 
Huwez ukampa mdada wa aina hyo money doesn't mean everything nasio all single mothers wanapenda hayo maisha it happen 4 da reasons behinds kila mtoto wanapenda kuwa na mapenz kutoka pande zote mbil
 
mimi sitaki hata sh mia yake
 
Huwez ukampa mdada wa aina hyo money doesn't mean everything nasio all single mothers wanapenda hayo maisha it happen 4 da reasons behinds kila mtoto wanapenda kuwa na mapenz kutoka pande zote mbil
wewe kama hutaki ni wewe tupo tunaotaka
 
Jamaaaa nikopeshe izo pesa nkafanye Bznes Zen nitakurejeshea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…