Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Habari wana Jf, kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta msichana wa kuwa anauza vitafunwa asubuhi, mshahara ni maelewano, kama yupo au kama kuna mtu anamfahamu msichana yeyote ambae anaweza kufanya kazi hii aniPM ili tuweze wasiliana tafadhali.