Wanajamvi,
Amani kwenu..!
Natafuta msichana wa kuuza duka la vifaa vya maofisini,shuleni nk.
Sifa;
-Elimu angalau kidato cha nne.
-Awe anajua kutumia computer
-Asiwe ameolewa.
-Awe anaishi kinondoni(duka lipo kinondoni).
Mshahara ni laki moja na nusu kwa mwezi. Atapewa chai na chakula cha mchana.
Kufungua ni saa 2 asubuhi mpaka saa 2 usiku. Jumatatu mpaka jumapili.
Atapumzika siku moja ktk juma,hiyo atachagua mwenyewe apumzike siku gani.
Mwenye kuhitaji ani-pm.
Nawasilisha.
Ni kwa sababu ya muda,anatakiwa kufungua saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku. Kwa aliyeolewa ni ngumu kutokana na majukumu ya kifamilia. Ndo maana pia nataka awe anatoka kinondoni karibu na ilipo ofisi.Mkuu mbona unahitaji wasioolewa tu? Kuna shida gani?
Ni kwa sababu ya muda,anatakiwa kufungua saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku. Kwa aliyeolewa ni ngumu kutokana na majukumu ya kifamilia. Ndo maana pia nataka awe anatoka kinondoni karibu na ilipo ofisi.