Natafuta msichana wa kushea naye maisha

Natafuta msichana wa kushea naye maisha

huna imani ...Bonge la turn off! Ila goodlucky

Swts wewe unadhani ni kazi ndogo kutafuta mwenzi wa creteria unazotaka na bila kujua kama na yeye anazimika na ww au vp...mimi naona kuna challenge ingawa pia inaweza kuwa easy no guarantee
 
Swts wewe unadhani ni kazi ndogo kutafuta mwenzi wa creteria unazotaka na bila kujua kama na yeye anazimika na ww au vp...mimi naona kuna challenge ingawa pia inaweza kuwa easy no guarantee
maidia... Me naamini hakuna kinachoshinda imani bwana,mwamini Mungu yani unakuwa ile me naomba na ntakavoomba ndo ntakavopata more n better than expected
 
You better expect less, ili ikitokea uipe value. Ikikosekana una jinsi huumii sana, just being pessimistic.
yani usiweke NEGATIVITY ideas unapohitaji kitu,Trust me hutapata. Ila ukiwa Positive na unakuwa na ile hali ya nataka i wont stop praying till i got't! Aiseee utaenjoy kila unachoomba ad utaitwa mchawi au mwenyewe utaanza kujiogopa. Never underestimate the power of GOD aisee! Wacha maidia. Na usiwe desperate yani kuwa slow but sure,hapana haraka. Utakuja shhuhusia humu.Nakutia moyo tu kaka yangu.
 
You better expect less, ili ikitokea uipe value. Ikikosekana una jinsi huumii sana, just being pessimistic.
]yani usiweke NEGATIVITY ideas unapohitaji kitu,Trust me hutapata. Ila ukiwa Positive na unakuwa na ile hali ya nataka i wont stop praying till i got't! Aiseee utaenjoy kila unachoomba ad utaitwa mchawi au mwenyewe utaanza kujiogopa. Never underestimate the power of GOD aisee! Wacha maidia. Na usiwe desperate yani kuwa slow but sure,hapana haraka. Utakuja shuhudia humu.Nakutia moyo tu kaka yangu.
 
Uwe serious na muombe Mungu kwan isije ikawa mbinu ya kutaka gegeda dada zetu.
 
Hivi watu wanaotafuta wenzi wao kupitia humu wanafanikiwaga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom