Natafuta msichana mwaminifu

Natafuta msichana mwaminifu

gidy boy

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
39
Reaction score
5
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu pia akubaliane na kupima VVU.
 
ambae hayupo tayar kuwa mama wa nyumbani,anicheki Pm seriously girl only
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom