Jamani kuna issue muhimu zaidi kwa taifa letu!
mi nipo hapahapa moro,ni handsome 24 years na i wish to have mtoto mmoja wa kike mzuri umri kuanzia miaka 18-24 wa hapa hapa tufahamiane tukipendana tuwe wapenzi,aliye seriouz ani pm tufahamiane zaidi.sitaki maneno ya kejeli plizzzz am seriouz
Hili tangazo limekuja wakat nshatoka maeneo hayo by ze wei huo umri bado mdogo sana
Hili tangazo limekuja wakat nshatoka maeneo hayo by ze wei huo umri bado mdogo sana
nahitaji nowHANDSOME huku huwezi kupata mwenye umri huo... Huku nikuanzia miaka 30 nakuendelea ukisikia mdada anatafuta ujue umri umekwenda tulia baada ya ya miaka 7 uje uandike tena
Pake NYUMBANI PARK kwa Fujo na Kahumba kuna wasichana kibao, nenda afu lete mrejesho!
Ngoja nikuitie mmoja kisu cha ukweli, mtakutana huko huko PM aliwahi niambia anahitaji kijana mtanashati umri wako, yeye anaishi Msamvu
24yrs old.............!!!!!
pesa mbele sura tutavumiliana ..... sura nzuri njaa kali
Sio yangu.
Usije niangusha tena maana shorty asijeona nimemuunganisha na domo zege, mimi nimekuunganisha tu, mambo mengine mtamalizana wenyewe, mimi wala siyataki kuyafahamu.nishaku pm mkuu
sawa mkuu ila sasa ngoja nkaongee na mshauri wangu tuje tukuevaluate kama unanifaa au vipi?
anytime, nakugarantee kuwa hutakua disappointed!
i will come
Usije niangusha tena maana shorty asijeona nimemuunganisha na domo zege, mimi nimekuunganisha tu, mambo mengine mtamalizana wenyewe, mimi wala siyataki kuyafahamu.
Nimeshakujibu mambo yote PM
Kila la kheri