Natafuta mshirika wa biashara Mwanza

Kama una idea nzuri ya biashara kwa mtaji wa laki moja na upo mwanza na mtendaji wa hiyo biashara awe ni mimi na wewe njoo pm.
Mtaji upo.
Mtaji wa laki afu unataka mshirikiane kwa mtaji huohuo sasa si bora upambane mwenywe ukuze mtaji wako!!

Manake kwa laki hata ufanye dili gani iliyo ya halali faida yake haiwez zidi elfu kumi kwa siku ko hiyo mgawane 5 kwa 5 afu familia zeni ziishi nyie muishi na biashara ikuee!!!

Mbona samaki na mikate mikononi mwa Yesu....
 
Back
Top Bottom