[emoji3516]Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni.
Nina masters in entrepreneurship and marketing na mtaji wa kiasi sh.mil 3 hivi. Nahitaji mshirika wangu awe na kianzio au mtaji atakaona unaweza kuwezesha hii biashara kuanza na kuendelea.
Nawakaribisha watu wote wenyekuvutiwa na wazo hili, na yeyote yule atayependa kushirikiana nami kufanya biashara hii tuwasiliane PM. Kila la kheri
Karibu sana.[emoji3516]
MIMI SINA MTAJI WA PESA,
NAOMBA KAZI KATIKA OFISI ITAYOANZISHWA MKUU.
Hilo halina shaka mkuuUmakini ni mhimu
KWA nn unahisi 3million haitoshi?Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni.
Nina masters in entrepreneurship and marketing na mtaji wa kiasi sh.mil 3 hivi. Nahitaji mshirika wangu awe na kianzio au mtaji atakaona unaweza kuwezesha hii biashara kuanza na kuendelea.
Nawakaribisha watu wote wenyekuvutiwa na wazo hili, na yeyote yule atayependa kushirikiana nami kufanya biashara hii tuwasiliane PM. Kila la kheri
Nimeshapiga mahesabu haitoshi.na ingekuwa inatosha nisingehangaika kutafuta mshirika amini ninachokueleza. Nashukuru kwa kujali mkuuKWA nn unahisi 3million haitoshi?
Hebu tupe mchanganuo tujue tunakusaidia vp
Ushapata patner ? Umefanyia research eneo la biashara? Unahitaj patner awe na kias ganiNimeshapiga mahesabu haitoshi.na ingekuwa inatosha nisingehangaika kutafuta mshirika amini ninachokueleza. Nashukuru kwa kujali mkuu
Kwanini usikope tu? Kutafuta partner msiofahamiana kiundani inachangamoto sana kibiashara....uaminifu, tofauti ya mitizamo, ufujaji....nakushauri uweke nguvu aidha uanze kidogo kidogo ukue au ukope kama unakopesheka....
Asante kwa ushauri mkuu, ubarikiweKwanini usikope tu? Kutafuta partner msiofahamiana kiundani inachangamoto sana kibiashara....uaminifu, tofauti ya mitizamo, ufujaji....nakushauri uweke nguvu aidha uanze kidogo kidogo ukue au ukope kama unakopesheka....
Milioni 3 kwa mikocheni iyo si pesa ya kodi ya pango miezi 5KWA nn unahisi 3million haitoshi?
Hebu tupe mchanganuo tujue tunakusaidia vp
NdioMilioni 3 kwa mikocheni iyo si pesa ya kodi ya pango miezi 5
Kuhusu Hili mkuu ni kuwa ushirika wetu ndio utachanganua na kwa pamoja to move forward.mtaji ni chochote atachohisi kitaweza kuwezesha biashara kuanza na kuendelea katika mlengo chanyaMchanganuo wa hiyo biashara uko vipi?
Unahitaji patner awe na mtaji kiasi gani ?
Mgawanyo wa kazi katika huo mgahawa ukoje?