Natafuta Mschana Wakuoa

Natafuta Mschana Wakuoa

Pascal2013

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
14
Reaction score
1
naitwa m.p ,naish dar natafta mke wakuanza nae maisha,nipo chuo mwaka wapili dsm.umr wangu 30,maji yakunde,pombe wala sigara stumii,sina mtoto.nimtaftae awe na elimu kuanzia chuo,dini yeyote,kabila sbagui,awe mweupe,ataekua tayar tuwasiriane kwa email hii jkandilo@yahoo.com
 
Mmh! M.P wa kikosi gani?? Btw-muombe mungu atakupatia wakufanana nawe!!
 
Hujamaliza chuo unataka aliyemaliza chuo kazana ndugu.
 
M-p humu kuna wadada wazuri labda wakubanie tu. Unaona hiyo post #4 ??? Hebu muangalie vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom