Baba Nla
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 780
- 2,540
Habarini za kazi wakuu !
Nimekua nikifanya kazi kwa muda mfupi kwenye mgahawa wa wazazi wangu kwa kusimamia wafanyakazi pindi wao wanapokua busy pindi nikiwa likizo. Mgahawa ni mkubwa na upo Mbarali Mbeya na kuna wafanyakazi watano, na daily income biashara ikichanganya ni zaidi ya laki 5 hasa kipindi cha mavuno ya mpunga.
Lengo la kuandika uzi huu ni baada ya kuona fursa ya kufanya huduma ya food delivery katika maeneo mbalimbali na Food Take Away, hasa wakati wa maandalizi ya shamba hivyo watu huhitaji kupelekewa au kufungiwa chakula wakiwa shambani wakiendelea na shughuli zao, sasa katika kipindi hiki ambacho mifuko ya plastic imezuiliwa nikapata wazo la kutafuta vifungashio vya kisasa ili tuweze kufanya huduma ya Food Take Away vizuri, Kwa hiyo kwa yeyote mwenye vifungashio vitavyokua vizuri kwa chakula, vikiwa na nembo ya mgahawa wetu na bei nafuu naomba tuwasiliane ili tufanye biashara.
0745410294
Ahsanteni sana naamini jf ni suluhu la kila kitu