Natafuta msaidizi (house girl)

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
377
Dini Yoyote awe Mtanzania na kabila lolote.asiwe na mtoto, umri 16-30 Aliye tayari au aliye na msichana mwenye sifa hizo Tuwasiliane kwa no0755171905
 
watakuja ila ingekuwa vema ungetaja upo wapi watu waelewe
 
mimi kuna ndugu yangu anahitaj kaz hyo
 
niko tayari. njoo pm ili tuzungumze
 
Aisee mm nshakosa sifa
Fikiria mm al shabab sio mtanzania
Fursa nzuri sana hii
 
Asie na mtoto?
Yaani inamaana huwezi kumsadia mtoto wa mwenzio?
Hizi kazi kweli hatari,watu roho mbaya ndio maana mungu anawanyima baadhi yetu.
Wapo wanfanyakzi wana watoto na ni mahodari sana tu kwenye kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…